Uwanja wa michezo wa Kumbukumbu ya Abubakar Umar
Mandhari
(Elekezwa kutoka Abubakar Umar Memorial Stadium)
Uwanja wa michezo ya Kumbukumbu ya Abubakar Umar ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi huko Jimbo la Gombe, nchini Nigeria. Una uwezo wa kubeba watu takribani 10,000, kwa sasa unatumiwa zaidi kwa mpira wa miguu na ulikuwa uwanja wa nyumbani wa timu ya Gombe United F.C. Serikali ya jimbo ikapanga kuubadilisha Uwanja wa Pantami na kuwa uwanja wa kisasa ambapo itagharimu naira bilioni 3.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kumbukumbu ya Abubakar Umar kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |