Abu Ballas
Mandhari
Abu Ballas (kilima cha ufinyanzi) ni eneo la kiakiolojia katika jangwa la Libya nchini Misri. Eneo hili lipo takribani kilomita 200 kusini-magharibi mwa Oases ya Dakhla na kuna koni mbili za mchanga katika jangwa ambalo sio tambarare.
Milima yote miwili imefunikwa na vyombo vya udongo huko Misri. Vyombo hivo vilikuwa mwanzoni mwa karne ya 20 mara nyingi vilihifadhiwa vizuri, lakini leo, kutokana na utalii wa kisasa umeharibiwa sana. Sehemu hiyo iligunduliwa mnamo mwaka 1918 na 1923. [1] Utafiti wa hivi karibuni ulifanyika katika miaka kadhaa iliyopita. [2]
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Vyombo vya udongo wa mfinyanzi
-
Mwamba, Abu Ballas, Jangwa la Magharibi, Misri
-
Mwindaji na upinde na mshale, Abu Ballas, Jangwa la Magharibi, Misri
-
Ng'ombe anayemnyonyesha ndama wake, Abu Ballas, Jangwa la Magharibi, Misri