Abeer Abdelrahman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abeer akinyanyua vyuma vizito.

Abeer Abdelrahman Khalil Mahmoud (amezaliwa Aleksandria, Misri, 13 Juni 1992) ni mnyanyua vyuma vizito kutoka Misri. [1]

Alishiriki katika Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 2008 na 2012 katika uzito wa kilo 75kg -69kg alimaliza katika nafasi ya tano kwenye Michezo yote miwili. [2] Mnamo mwaka 2016, Abdelrahman alikua mwanamke wa kwanza wa Misri kushinda medali ya Olimpiki wakati washindi wa awali wa medali ya dhahabu, fedha na shaba walipoondolewa kwa sababu ya kutumia dawa za kusisimua misuli. [3] Abdelrahman sasa ndiye mshindi wa medali ya fedha kwenye mashindani ya uzito kilo 75kg katika Olimpiki ya Majira ya joto ya 2012. [4] [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kigezo:Cite Sports-Reference
  2. "Khalil Mahmoud K Abir Abdelrahman". London2012.com. London Organising Committee of the Olympic and Paralympic Games. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 October 2012.  Check date values in: |archivedate= (help)
  3. "Egypt Gets its First-Ever Woman Olympic Medal Winner". Egyptian Streets. 2016-07-28. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 July 2016. Iliwekwa mnamo 2016-07-28.  Check date values in: |archivedate= (help)
  4. "Weightlifting - Ahmed earns landmark podium for Egypt", 2016-08-10. Retrieved on 2023-02-15. Archived from the original on 2016-08-10. 
  5. "Rio 2016: Egypt's Sara Ahmed becomes first Arab woman to win Olympic weightlifting medal", The Independent, 2016-08-12. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abeer Abdelrahman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.