Nenda kwa yaliyomo

Abdullswamad Sherrif Nassir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdullswamad Sheriff Nassir ni mwanasiasa wa Kenya na gavana wa kaunti ya Mombasa. Alichaguliwa kwa tiketi ya ODM chini ya azimio la Umoja, muungano wa Kenya kwenye uchaguzi mkuu wa 2022. Hapo awali alihudumu kama mbunge wa eneo Mvita kuanzia 2012 hadi 2022 .[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "ODM's Abdulswamad Nassir wins Mombasa governor race". Nation (kwa Kiingereza). 2022-08-30. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-10. Iliwekwa mnamo 2023-06-05.