Nenda kwa yaliyomo

Abdallah Makumbila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdallah Makumbila maarufu kama Muhogo Mchungu ni mwigizaji mkongwe wa filamu na tamthilia nchini Tanzania[1][2]

Filamu alizoshiriki

[hariri | hariri chanzo]
  1. Msago[3]
  2. Masaibu
  3. Waraka
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdallah Makumbila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.