Aathari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aathari ni masalio ya vitu na utamaduni wa watu fulani. Mfano wa masalia ni magofu ya kale, vitu vya utamaduni na kadhalika.

Wataalamu wa akiolojia ndio wanaotafuta na kuchunguza mabaki hayo ili kuelewa zaidi mambo ya kale yalikuwaje na watu wa wakati huo waliishi vipi.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aathari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.