A.J. Styles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
AJ Styles

Allen Neal Jones (anajulikana kwa jina la A.J.Styles; alizaliwa 2 Juni 1977), ni mpiganaji wa mieleka wa Marekani ambaye amesajiliwa kwenye WWE (World Wrestling Entertainment). Na anapigana chini ya brandi ya SmackDown na ni bingwa wa WWE wa sasa katika utawala wake wa pili.

Kwa muda mrefu alionekana kama mmoja wa wapiganaji bora duniani, kwa sababu ya mitindo yake mingi ya kupigana ya kiufundi.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu A.J. Styles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.