20th Century Studios
Mandhari
(Elekezwa kutoka 20th Century Fox)
20th Century Studios (ilijulikana kuanzia 1935 hadi 1985 kama Twentieth Century-Fox Film Corporation) ni kampuni kubwa ya Marekani inayojishughulisha na utengenezaji wa filamu.
Studio ipo mjini Century City katika eneo la Los Angeles, California, Marekani, yaani magharibi mwa Beverly Hills. Studio hii ni kampuni tanzu ya News Corporation, shirikisho la vyombo vya habari linalomilikiwa na Rupert Murdoch.
Twentieth Century Fox ilianzishwa mnamo 1935 pale Fox Film Corporation na Twentieth Century Pictures walipoungana na kuunda kampuni. 20th Television ni moja ya sehemu ya kampuni ambayo hasa hujishughulisha na masuala ya utayarishaji wa vipindi vya tevisheni.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20th Century Studios kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |