2019 New Zealand Music Awards

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo musiki katika mwaka 2019 New Zealand Music, ilikuwa ni sherehe ya 54 na moja ya sherehe zifanyikazo kila mwaka zinazoangazia tuzo za wasanii wanao rekodi muziki ambao wanaotokea New Zealand. na sherehe hiyo Ilifanyika tarehe 14 Novemba 2019 katika uwanja wa Spark Arena huko Auckland na kuandaliwa na Laura Daniel na Jon Toogood. Kipindi cha tuzo kilitangazwa mubashara kwenye chaneli iitwayo "Three" ya huko New Zealand.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 2019 New Zealand Music Awards kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.