İlhan Mansız

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
2013 Nebelhorn Trophy Ilhan MANSIZ IMG 5900.JPG

İlhan Mansız (alizaliwa 10 Agosti 1975) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Uturuki. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Uturuki.

Mansız ameichezea timu ya taifa ya Uturuki tangu mwaka wa 2001. Mansız alicheza Uturuki katika mechi 21, akifunga mabao 7.[1]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

[1]

Timu ya Taifa ya Uturuki
Mwaka Mechi Magoli
2001 2 1
2002 13 5
2003 6 1
Jumla 21 7

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 İlhan Mansız at National-Football-Teams
Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu İlhan Mansız kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.