Nenda kwa yaliyomo

Q (gazeti) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox Magazine | title = Q | picha = Q logo2.png | ukubwa wa picha = 100px | maelezo ya picha = | mchapishaji = [[Bauer Media Grou...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 07:39, 1 Julai 2009

Q (gazeti)
Paul ReesPaul Rees
MakundiMuziki
HutolewaKila mwezi
MchapishajiBauer Media Group
NchiBendera ya Ufalme wa Muungano United Kingdom
LughaKiingereza
TovutiQ the Music

Q ni jina la kutaja gazeti la muziki ambalo hutolewa kila mwezi huko nchini Uingereza. Haidi kufikia mwezi Juni ya mwaka wa 2007, gazeti limetoa nakala takriban 130,179.[1]

Gazeti hili lilianzishwa na Mark Ellen na David Hepworth ambao walichoshwa na vyombo vya habari za muziki vya wakati huo, ambapo walikuwa wakihisi kwamba vinadharau vizazi vile ambavyo vinanunua muziki wa CD wa zamani.

Marejeo

  1. "Standard Certificate of Circulation - Q" (PDF). Audit Bureau of Circulation. 2007-08-16. Iliwekwa mnamo 2008-02-08.

Viungo vya Nje