Oge Okoye : Tofauti kati ya masahihisho
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Oge Okoye '''(alizaliwa tarehe born 16 Novemba 1980) ni muigizaji wa Kinajeria. Ametokea Nnewi katika jumbo la Anambra Nigeria<ref>https://austinemedia.com/1...' |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 09:59, 31 Oktoba 2020
Oge Okoye (alizaliwa tarehe born 16 Novemba 1980) ni muigizaji wa Kinajeria. Ametokea Nnewi katika jumbo la Anambra Nigeria[1]. Oge Okoye alizaliwa London,[2] na baadaye alihamia kuishi Lagos na familia yake. Alihitimu elimu ya msingi akiwa kabla ya kuhamia Nigeria. Baada ya kurudi Nigeria, alisoma shule ya msingi Enugu na baadaye Holy Rosary College kwa ajili ya sekondari, [3].
Alihitimu katika [Chuo cha Nnamdi Azikiwe ], [Awka] na shahada ya [Sanaa ya maigizo]. Alijiunga na tasnia ya uigizaji Naijeria inayofahamika kama Nollywood mnamo waka 2001. Alipata umaarufu 2002 baada ya kuigiza katika filamu ya ‘Spanner’ alipoigiza na Chinedu Ikedieze almaarufu ‘Aki’ kwenye tasnia ya filamu Naijeria. Aliolewa na mpeziwe wa muda mrefu mwaka 2005 wana watoto wawili. Alitengana na mumewe mwaka 2012 [4]. Mwaka 2006, aliteuliwa kuwania tuzo za African Movie Academy kama muigizaji msaidizi bora wa kwa uhusika wake katika filamu ya "Eagle's Bride"[5][6][7]
Oge ni mzalishaji filamu na mwanamitindo pia. Ametokea katika majarida mengi ya kimitindo, matangazo ya runingani na billboards. Amekua balozi wa makampuni mbali mblai kama vile [Globacom]]na [MTN_Nigeria] ikiwa ni sehemu ya a [Kundi la MTN ] yote yakiwa ni makampuni ya mawasiliano Naijeria [8].
Filamu
|
|
Mfululizo wa sinema
- This list is incomplete; you can help by expanding it.
mwaka | Jina | Jukumu | Muongozaji | Ref |
---|---|---|---|---|
2015 | Hotel Majestic] | style="background: #ececec; color: grey; vertical-align: middle; text-align: center; " class="table-na" | Hakuna taarifa | [9] |
Marejeo
- ↑ https://austinemedia.com/10-real-facts-about-oge-okoye-you-probably-didnt-know/
- ↑ "Biography". Iliwekwa mnamo 20 Juni 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.legit.ng/1183621-nigerian-actress-oge-okoyes-biography.html
- ↑ https://www.premiumtimesng.com/entertainment/naija-fashion/322886-actress-oge-okoye-visits-church-of-pastor-who-faked-resurrection.html
- ↑ "No Big Deal In Married Woman Going To Club - Oge Okoye", Nigerian Tribune, 30 January 2010. Retrieved on 4 February 2011.
- ↑ Ogbonna, Amadi. "My husband thought Iwas a prostitute, say Oge Okoye", Vanguard, Lagos, Nigeria: Vanguard Media, 1 August 2009. Retrieved on 4 February 2011.
- ↑ "Stars at War - Oge Okoye Battles Ini Edo Over Gossip", Allafrica.com, AllAfrica Global Media, 21 November 2010. Retrieved on 4 February 2011.
- ↑ https://austinemedia.com/10-real-facts-about-oge-okoye-you-probably-didnt-know/
- ↑ "'Hotel Majestic' Oge Okoye, Ivie Okujaye, Bukky Ajayi star in new telenovela". Pulse Nigeria. Chidumga Izuzu. Iliwekwa mnamo 31 Desemba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)