Yvette Nipar
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Yvette Nipar | |
|---|---|
![]() Yvette Nipar |
|
| Amezaliwa | Yvette Nipar 20 Oktoba 1964 Los Angeles, California, Marekani |
| Kazi yake | Mwigizaji |
| Ndoa | Patrick McDermott (1 Machi 1992 - 30 Juni 1993) (katarikiwa) mtoto 1 |
Yvette Nipar (amezaliwa tar. 20 Oktoba 1964) ni mwigizaji wa filamu na tamthiliya kutoka nchi Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Agent Kate Jensen kutoka katika filamu ya "Walking Tall: The Payback" na "Walking Tall: Lone Justice". Vilevile alicheza Agent Wendy Robbins kutoka katika filamu ya "Submerged". Pia anafahamika sana kwa kucheza kama Detective Lisa Madigan kutoka mfululizo wa kipindi cha televisheni cha "Robo Cop".
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yvette Nipar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
