Viwakilishi vya idadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifano
  • Mawili yamegongana, idadi kamili.
  • Vichache vimepatikana, idadi ya jumla.
  • Wanne wamekamatwa, idadi kamili.
  • Wengi hawakula ugali, idadi ya jumla.
  • Watano wamekimbia, idadi kamili.

Viwakilishi vya idadi/kiasi ni aina ya neno au maneno yanayojulisha idadi ya watu au vitu ambavyo havikutajwa majina. Idadi hiyo inaweza kuwa ya jumla au idadi hali/kamili.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya idadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.