Utandawazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Bango la biashara la McDonald's kwa Kiarabu. Utandawazi unaendana na makampuni mengi kuenea duniani kote.

Matumizi ya neno Utandawazi yalianzia miaka ya tisini, yakimaanisha kukifanya kitu kuwa katika kiwango cha kimataifa, na kukihamisha kutoka katika mipaka na kukifanya kuwa cha wazi na kikafanywa na watu wa aina yote duniani.

Utandawazi ni njia ambayo wenyeji au taifa hufanya mambo kuwa ya kimataifa, kufanya mambo pamoja duniani. Inahusu suala zima la uchumi au biashara, teknolojia, siasa na utamaduni.

Utandawazi pia ina maana ya kuwa, ni jambo linalolenga umiliki wa kifikra na kiutamaduni juu ya tamaduni nyingine zilizo dhaifu, kwa ajili ya kusaidiana na kuungana yaani kuwa kitu kimoja, kuondoa mipaka na masafa kati ya nchi na nchi, kukusanyika pamoja na kuleta kitu kinachoitwa "kijiji-ulimwengu" [1]

Watu wana msimamo tofauti sana kuhusu suala hili la utandawazi: baadhi wanahisi kwamba inasaidia kila mtu, wakati kuna wengine wanafikiria kwamba inaumiza baadhi ya watu.

[hariri] Marejeo

  1. Sheila L. Croucher. Globalization and Belonging: The Politics of Identity a Changing World. Rowman & Littlefield. (2004). p.10

[hariri] Soma Zaidi

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utandawazi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine