Utambulisho wa jinsia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Utambulisho wa jinsia ni istilahi iliyotungwa na profesa wa magonjwa ya akili Robert J. Stoller na mwanasaikolojia John Money mnamo 1964 [1][2][3]. Wao waliifasili kuwa "hisia binafsi kama kiume, kike, au mchanganyo wa hayo."[4]

Utambulisho wa jinsia unaweza kulingana na jinsi halisi ya mtu, kama ilivyo kwa wengi, au unaweza kutofautiana nayo.[5][6][7]

Wapo wanaotaka kutambulika katika jamii vile wanavyojisikia, hivyo waweze kutumia vyoo vya jinsia ya utambulisho wao, kushiriki michezo ya jinsia wanayotaka na kufungwa gerezani pamoja na watu wa jinsia wanayojisikia.

Msimamo tofauti[hariri | hariri chanzo]

Nchi nyingi, hasa za Afrika, zimekataa mara kadhaa istilahi hiyo isitumike katika hati zilizoandaliwa na ofisi za Umoja wa Mataifa kama kwamba ni sahihi.

Vilevile Kanisa Katoliki limepinga matumizi yake[8][9].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Dr. John Money, pioneer in sexual identity, dies". NBC News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 January 2022. Iliwekwa mnamo 16 January 2022.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. The psychobiology of transsexualism and transgenderism: a new view based on scientific evidence. Santa Barbara, California. 2015. uk. 40. ISBN 978-1440831270.  Unknown parameter |vauthors= ignored (help)
  3. "The Hermaphroditic Identity of Hermaphrodites". The Journal of Nervous and Mental Disease 139 (5): 453–457. November 1964. PMID 14227492. doi:10.1097/00005053-196411000-00005.  Unknown parameter |vauthors= ignored (help); Unknown parameter |s2cid= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  4. "Sexual Orientation and Gender Identity Expression.". Sexual orientation and gender expression in social work practice: working with gay, lesbian, bisexual, and transgender people. New York: Columbia University Press. 2006. ku. 3–17 (8). ISBN 978-0-231-50186-6. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 December 2021. Iliwekwa mnamo 19 December 2021. Gender identity refers to an individual's personal sense of identity as masculine or feminine, or some combination thereof.  Unknown parameter |veditors= ignored (help); Unknown parameter |url-status= ignored (help); Unknown parameter |vauthors= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  5. "Considering Sex as a Biological Variable in Basic and Clinical Studies: An Endocrine Society Scientific Statement". Endocrine Reviews 42 (3): 219–258. May 2021. PMC 8348944 Check |pmc= value (help). PMID 33704446 Check |pmid= value (help). doi:10.1210/endrev/bnaa034.  Unknown parameter |vauthors= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  6. Social Psychology: How Other People Influence Our Thoughts and Actions [2 volumes]. ABC-CLIO. 2016. uk. 232. ISBN 9781610695923.  Unknown parameter |vauthors= ignored (help)
  7. American Psychological Association (December 2015). "Guidelines for psychological practice with transgender and gender nonconforming people". The American Psychologist 70 (9): 832–864. PMID 26653312. doi:10.1037/a0039906.  Check date values in: |date= (help)
  8. Pope Benedict XVI denounced gender studies, warning that it blurs the distinction between male and female and could thus lead to the "self-destruction" of the human race. He warned against the manipulation that takes place in national and international forums when the term "gender" is altered. "What is often expressed and understood by the term 'gender,' is definitively resolved in the self-emancipation of the human being from creation and the Creator", he warned. "Man wants to create himself, and to decide always and exclusively on his own about what concerns him." The Pontiff said this is humanity living "against truth, against the creating Spirit". Taz. Hati ya Idara ya Malezi ya Kikatoliki kuhusu Jinsia All the same, the Roman Catholic Church has been involved in the outreach to LBGT community for several years and continues doing so in a variety of ways such as through Franciscan urban outreach centers, namely, the "Open Hearts" outreach in Hartford, CT.
  9. https://www.vaticannews.va/en/vatican-city/news/2019-06/vatican-document-on-gender-yes-to-dialogue-no-to-ideology.html
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utambulisho wa jinsia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.