Twila Moon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Twila Moon ni mwanasayansi wa kituo cha National Snow and Ice Data Center aliyejulikana sana kwa masuala ya mabadiliko ya tafiti kuhusu sehemu kubwa ya barafu inayofunika kilomita za mraba 1,710,000 (660,000 sq mi), takriban 80% ya uso wa Greenland.

Taaluma na Kazi[hariri | hariri chanzo]

Moon ana Shahada ya kwanza ya sayansi toka Chuo Kikuu cha Stanford aliyoipata mwaka 2004 na Shahada ya Uzamili kutoka Chuo kikuu cha Washington (2008) [1] alipata shahada ya uzamivu toka chuo kikuu cha washington ambapo alifanya kazi kwenye eneo la upotevu wa wingi wa barafu toka Greenland[2]. Baada ya udaktari alifanya kazi National Snow na Ice Data Center na Chuo kikuu cha Oregon na baadae akajiunga na National Snow and Ice Data Center kama mwanasayansi mtafiti mnamo mwaka 2017.[3][1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Twila Moon CV at congress.gov". congress.gov. Iliwekwa mnamo March 1, 2022.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Moon, Twila Alexandra (2014), Greenland outlet glacier behavior during the 21st century: Understanding velocities and environmental factors (kwa en-US), iliwekwa mnamo 2023-05-23 
  3. "Moon's website". 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Twila Moon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.