Sisilia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sisilia (kiitalia Sicilia) ni kisiwa kikubwa cha Italia katika Mediteranea. Iko kusini kabisa ya rasi ya Italia. Sisilia ni pia jimbo la nchi. Mji mkuu ni Palermo. Idadi ya wakazi ni watu mnamo 5.087.000 (2004).
Mikoa [hariri]
Tazama pia [hariri]
Tovuti za Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sisilia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Regione kawaida | |
| Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto | | |
| Regione na ya sasa pekee uhuru | |
| Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta | |