Simanjiro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Simanjiro (kijani) katika mkoa wa Manyara.

Wilaya ya Simajiro ni wilaya moja ya Mkoa wa Manyara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro ilihesabiwa kuwa 141,676 [1].

Simanjiro imepakana na mkoa wa Arusha upande wa kaskazini, mkoa wa Kilimanjaro upande wa kaskazini-mashariki, mkoa wa Tanga upande wa kusini-mashariki, wilaya ya Kiteto upande wa kusini, mkoa wa Dodoma upande wa kusini-magharibi na wilaya ya Babati kwenye magharibi.

Makao makuu ya wilaya yapo Orkesumet.

Wenyeji ni hasa Wamasai na ufugaji ni kazi yao hasa. Katika Mererani watu huchimba vito vya tanzanaiti.

Marejeo ya Nje [hariri]

    Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Simanjiro - Mkoa wa Manyara - Tanzania Flag of Tanzania.svg

    Emboreet | Loibor-Siret | Loiborsoit | Mererani | Msitu wa Tembo | Naberera | Ngorika | Oljoro No. 5 | Orkesumet | Ruvu-Remit | Shambarai | Terrat


    Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
    Je unajua kitu kuhusu Simanjiro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
    Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.