Silvia Navarro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Silvia Navarro (Silvia Angelica Navarro Barva, amezaliwa tar. 14 Septemba, 1978) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Mexiko. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Catalina katika tamthilia ya Catalina y Sebastian (1999), vilevile Elena Olivares katika tamthilia ya Cuando Seas Mia (2001).

[hariri] Tamthilia alizoigiza

  • Montecristo - 2006, Mexico
  • La Heredera - 2004, Mexico
  • La Duda - 2002, Mexico
  • Cuando Seas Mia - 2001, Mexico
  • La Calle de las Novias - 2000, Mexico
  • Catalina y Sebastian» - 1999, Mexico
  • Perla - 1998, Mexico

[hariri] Viungo vya nje

People.svg Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Silvia Navarro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine