Nenda kwa yaliyomo

Silvia Navarro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Silvia Navarro

Silvia Navarro (jina kamili: Silvia Angelica Navarro Barva; amezaliwa 14 Septemba 1978) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Mexiko.

Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Catalina katika tamthilia ya Catalina y Sebastian (1999), vilevile Elena Olivares katika tamthilia ya Cuando Seas Mia (2001).

Tamthilia alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
  • Montecristo - 2006, Mexico
  • La Heredera - 2004, Mexico
  • La Duda - 2002, Mexico
  • Cuando Seas Mia - 2001, Mexico
  • La Calle de las Novias - 2000, Mexico
  • Catalina y Sebastian» - 1999, Mexico
  • Perla - 1998, Mexico

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Silvia Navarro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.