Siboniso Gaxa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Siboniso Gaxa (alizaliwa 6 Aprili 1984 huko Durban, KwaZulu-Natal) pia anajulikana kwa jina la utani 'Pa' ni beki mstaafu wa Afrika Kusini ambaye alichezea vilabu vikubwa kama vile Ajax Cape Town, Kaizer Chiefs F.C., Mamelodi Sundowns F.C. na kama beki wa klabu ya Bafana Bafana.

Maisha yake[hariri | hariri chanzo]

Pa Alihitimu Chuo Kikuu cha Witwatersrand na kupata digrii katika Sayansi ya Siasa na Mafunzo ya Jamii mnamo 2019.[1]

Ushiriki katika klabu[hariri | hariri chanzo]

Gaxa alihudhuria Chuo Kikuu cha Port Elizabeth, ambacho wakati huo kilikuwa na timu ya mpira wa miguu iliyodhibitiwa na timu ya Denmark F.C. Copenhagen.

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Gaxa alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa katika mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA 2006 dhidi ya Cape Verde tarehe 4 Juni 2005.

Makombe na Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Supersport United

  • MTN 8 - 2004
  • Kombe la Nedbank - 2005
  • Ligi Kuu ya Soka - 2007/08

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siboniso Gaxa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.