Septimius Severus
Mandhari
Lucius Septimius Severus (11 Aprili, 146 – 4 Februari, 211) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 9 Aprili, 193 hadi kifo chake. Alimfuata Didius Julianus. Alikuwa Kaizari wa Roma wa kwanza kutoka Afrika ya Kiroma aliyezaliwa huko Leptis Magna (Libya ya leo).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Septimius Severus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |