Satara Murray

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Murray mnamo 2013

Satara Melonie Murray (alizaliwa 1 Julai 1993)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama beki wa klabu ya Bristol City Ligi Kuu ya Wanawake na timu ya taifa Jamaika.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Norges Fotballforbund. "Satara Melonie Murray - Profil". fotball.no - Norges Fotballforbund (kwa Norwegian). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. The Football Association. "Spacey names her latest England Next Gen squad". www.thefa.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  3. knews (2010-11-04). "TD Mark Rodrigues satisfied with performance of 'Lady Jags'". Kaieteur News (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Satara Murray kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.