Samir Arora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samir Arora

Samir Arora (alizaliwa Novemba 5, 1965) ni mfanyabiashara wa Marekani mwenye asili ya Kihindi na mkurugenzi mtendaji wa "Kyro" tangu Septemba 2021, mkurugenzi mtendaji wa zamani wa "Sage Digital" kutoka 2016 hadi 2021, na mkurugenzi mtendaji wa zamani wa "Mode Media" (zamani Glam Media) kutoka 2003 hadi Aprili 2016.

Alikuwa mkurugenzi mtendaji na mwenyekiti wa kampuni ya kubuni tovuti ya "NetObjects, Inc". kutoka 1995 hadi 2001 na katika "Apple Inc" kutoka 1982 hadi 1991. Arora alichaguliwa kama mmoja wa waanzilishi 21 wa mtandao wa World Wide Web katika tuzo za kwanza za wavumbuzi wa tovuti na CNET mnamo 1997.[1]

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Samir Arora alizaliwa huko New Delhi, India. Alisomea umeme na uhandisi katika chuo cha Birla Institute of Technology and Science.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Shafer, Dan. "BUILDER.COM - Web Business - The 1st annual Web Innovator Awards - Samir Arora, NetObjects Fusion". CNET Builder.com. CNET Networks, Inc. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2000-12-15. 
  2. Davidson, Andrew. "Glam.com Samir Arora boss is in the pink", Times Online, London: Times Newspapers Ltd., June 22, 2008. Retrieved on June 23, 2008. Archived from the original on June 12, 2011. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samir Arora kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.