Sam Shepard
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samuel Shepard Rogers (amezaliwa 5 Novemba, 1943) ni mchezaji na mwandishi wa micheza ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa chini ya jina la Sam Shepard. Mwaka wa 1979 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya tamthiliya yake iitwayo kwa Kiingereza Burning Child.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sam Shepard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |