Salzburg
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salzburg ni jina la kutaja mji wa jimbo la Austria la Salzburg au Salzburgerland. Idadi ya wakazi ya mjini imekadiriwa kufikia takriban watu 150,000. Huu ni mji mashuhuri kwa sababu mtunzi wa muziki na opera Wolfgang Amadeus Mozart alizaliwa hapa.
Viungo vya Nje [hariri]
- Salzburg City Tourist Office – Official tourist board website.
- Visit Salzburg - Local information
- Salzburger Nachrichten – Tourism site maintained by the local newspaper, Salzburger Nachrichten.
- Salzburg Tourism Tourist attractions in Salzburg, with descriptions and maps (Kiingereza)
- Pictureserver Views of Salzburg
- Georgia Salzburger Society – The website of the Georgia Salzburger Society, descendents of the refugees who settled in Georgia after their expulsion from Salzburg in 1731.
- LonelyPlanet Salzburg
- Pictures from Salzburg (within a Salzburg/Burghausen slideshow) (Kiingereza)(Kijerumani)
- Main touristic attractions in Salzburg
- Tourism related information about main sights and sights off the beaten track
- Tourism related information
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Salzburg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |