Salzburg (jimbo)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Salzburgerland)
Mahali pa Salzburg katika Austria
Salzburg (au Salzburgerland, (Kijerumani)) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 530.488 kwenye eneo la 7.154 km². Mji mkuu ni Salzburg. Waziri mkuu ni Gabriele Burgstaller (SPÖ).
Jiografia[hariri]
Jimbo la Salzburg imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Austria Juu, Steiermark, Karinthia na Tirol.
Miji mikubwa ni pamoja na Salzburg na Hallein.
Salzach na Inn ni mito muhimu zaidi.
Picha za Salzburg[hariri]
-
Kanisa la Salzburg
Tovuti za Nje[hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Salzburg (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|
|
|---|---|
| Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg | |