Roy Campbell
Mandhari
Roy Campbell | |
Amezaliwa | Ignatius Royston Dunnachie Campbell 2 Oktoba 1901 Durban, Afrika Kusini |
---|---|
Amekufa | 23 Aprili 1957 Ureno |
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mshairi, Mwanahabari |
Roy Campbell (2 Oktoba 1901 - 22 Aprili 1957) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini.
Hasa alitunga mashairi, na mwaka wa 1926 alihariri jarida la Voorslag.
Baadaye alihama nchi yake na kukaa Uingereza, Hispania na Ureno.
Vitabu vyake
[hariri | hariri chanzo]- The Flaming Terrapin (1924)
- Adamastor (1930)
- Broken Record (1934; tawasifu)
- Talking Bronco (1946)
- Light on a Dark Horse (1951; tawasifu)
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Roy Campbell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |