Rosario
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha inayoonyesha mji wa Rosario kwa upande wa mto Parana.
Rosario ni mji uliopo mashariki-kati mwa nchi ya Argentina, takriban km 300 kutoka mji wa Buenos Aires. Ni mkuu wa Santa Fe Province. Na kwa mwaka wa 2008, mji wa Rosario una wakazi wapatao 1,000,000, na kuufanya uwe mji wa tatu kwa ukubwa katika Argentina. Mji upo katika eneo la mto mashuhuri wa Argentina - mto Parana.
Viungo vya nje [hariri]
- Municipality of Rosario (official website)
- Rosario Cursos y Congresos Courses and Congresses in Rosario
- RosarioCity (commercial website of Rosario city and its region)
- Rosario.com.ar (commercial guide to Greater Rosario)
- (Kiingereza) Ente de Turismo Rosario (tourism office)
- National University of Rosario
- Night life and entertainment
- Rosario Alternativo Short stories for the learned traveller
- (Kiingereza) Administrative Entity of the Port of Rosario (ENAPRO)
- (Kiingereza) Rosario Board of Trade (Bolsa de Comercio de Rosario)
- RosarioLinks (web directory)
- La Capital (online newspaper)
- El Ciudadano & la Región (online newspaper)
- Map of Rosario City
- The First Online Newspaper In Rosario
| Makala hii kuhusu maeneo ya Argentina bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rosario kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |