Robert Akaruye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert Akaruye (alizaliwa 28 Machi 1981) ni mchezaji wa zamani wa kandanda wa Nigeria. Hapo awali aliichezea klabu ya Sivasspor ya Uturuki na kuiwakilisha Nigeria katika hafla moja.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Akaruye ambaye ni Mshambulizi wa klabu ya Al Ahed alinusurika katika ajali mbaya ya gari kwenye barabara ya kuelekea uwanja wa ndege wa Beirut mnamo Jumatatu tarehe 14 Desemba 2009 .[1]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Akaruye Alicheza mechi yake ya pekee na timu ya taifa ya Nigeria ya kandanda tarehe 20 Juni 2004 mjini Luanda dhidi ya tim ya taifa ya Angola. [2]

Heshima na vyeo[hariri | hariri chanzo]

Binafsi

  • Mfungaji bora wa Kombe la AFC 2009. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lebanese-goal.com". lebanese-goal.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-01. Iliwekwa mnamo 2018-05-14.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. Akaruye/ Robert Akaruye FIFA competition record
  3. "2009 AFC Cup Honours List". the-afc.com. Iliwekwa mnamo 9 May 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Akaruye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.