Ponsyo wa Pradleves

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ponsyo wa Pradleves (walifia dini mwishoni mwa karne ya 3) baada ya kuinjilisha mabonde ya Piemonte (Italia).

Anasemekana kuwa kati ya askari wa kutoka Thebe (Misri).

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 14 Mei.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.