Peter Jackson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Peter Jackson
Peter Jackson mnamo 2003.
Peter Jackson mnamo 2003.
Jina la kuzaliwa Peter Jackson
Alizaliwa 31 Oktoba 1961
New Zealand
Kazi yake Mwongozaji
Mwandaaji
Mwandikaji wa script
Ndoa Fran Walsh (1987-)

Peter Robert Jackson (amezaliwa 31 Oktoba 1961, mjini Pukerua Bay) ni mwongozaji filamu wa Kinyusiland. Anafahamika zaidi kwa kuongoza mfululizo wa filamu ya The Lord of the Rings.

Mnamo mwaka wa 2003, Jackson alishinda tuzo ya Academy kwa kuongoza filamu ya The Lord of the Rings: The Return of the King. Vilevile anafahamika kwa kuitengeneza upya filamu ya King Kong ya mwaka 2005. Jackson alizaliwa katika mji wa Pukerua Bay, New Zealand, na ni mtoto pekee wa mzee Bill na Joan Jackson, ambao wote walikuwa wahamiaji kutoka nchi ya Uingereza.

Filamu alizoongoza[hariri | hariri chanzo]

  • Bad Taste (1987)
  • Meet the Feebles (1989)
  • Valley of the Stereos (1992) (filamu fupi)
  • Braindead (a.k.a. Dead Alive) (1992)
  • Heavenly Creatures (1994)
  • Forgotten Silver (1995) - mockumentari
  • The Frighteners (1996)
  • The Lord of the Rings: The Fellowship of the Ring (2001)
  • The Lord of the Rings: The Two Towers (2002)
  • The Lord of the Rings: The Return of the King (2003)
  • King Kong (2005)
  • The Lovely Bones (2007) (Ishatangazwa)
  • Halo (2008) - Mwandaaji mkuu (Ishatangazwa)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: