Paul Newman
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Paul Newman | |||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Picha:Paulnewman new.jpg Paul Newman |
|||||||||||||||
| Amezaliwa | Paul Leonard Newman 26 Januari 1925 Cleveland, Ohio |
||||||||||||||
| Amekufa | 26 Septemba 2008 Westport, Connecticut, Marekani |
||||||||||||||
| Miaka ya kazi | 1952 - 2007 | ||||||||||||||
| Ndoa | Jackie Witte (1949–1958) Joanne Woodward (1958–2008) |
||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Paul Newman (26 Januari 1925 - 26 Septemba 2008) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Newman alizaliwa mjini Shaker Heights, Ohio, Marekani. Alifahamika sana kwa kucheza katika filamu ya Butch Cassidy and the Sundance Kid, ilichezwa mnamo mwaka wa 1969. Humo alicheza kama Butch Cassidy. Newman alipata kumwoa mwigizaji filamu mwenzake Bi. Joanne Woodward.
Viungo vya nje [hariri]
Paul Newman at the Internet Movie Database
- Newman/Haas Racing
- Newman's Own
- The Hole in the Wall Gang Camp
- Is Paul Newman ready for his swan song?
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Newman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |