Orodha ya matajiri wakubwa Waafrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Orodha ya matajiri wakubwa Waafrika (The Richest Africans) ni orodha ya kila mwaka ya matajiri wakubwa kabisa wa Afrika inayoandaliwa na kuchapishwa na gazeti la biashara la Marekani Forbes. Orodha hii imekuwa ikichapishwa toka mwaka 2015.

Mwanzilishi wa Dangote Group, Aliko Dangote, ndiye namba moja kwenye orodha ya 2018.[1] Mwaka 2018, kuna mabilionea 23 wa Afrika kwenye orodha hiyo.[2]

Orodha ya kila mwaka[hariri | hariri chanzo]

2018[hariri | hariri chanzo]

Na. Jina Utajiri (USD) Umri Utaifa Chanzo cha utajiri
&0000000000000001.0000001 Aliko Dangote $10.7 billion increase 61 Bendera ya Nigeria Nigeria Dangote Industries.[3]
&0000000000000002.0000002 Nicky Oppenheimer $8.8 billion increase 73 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini diamonds, gold
&0000000000000003.0000003 decrease Rupert, JohannJohann Rupert $7.2 billion increase 68 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini Telmex, Richemont
&0000000000000004.0000004 Sawiris, NassefNassef Sawiris $6.8 billion increase 57 Bendera ya Misri Misri Orascom
&0000000000000005.0000005 Adenuga, MikeMike Adenuga $5.3 billion increase 65 Bendera ya Nigeria Nigeria Globacom
&0000000000000006.0000006 Rebrab, Issad Issad Rebrab $4 billion increase 74 Bendera ya Algeria Algeria CEVITAL Group
&0000000000000007.0000007 Sawiris, Naguib Naguib Sawiris $4 billion increase 64 Bendera ya Misri Misri Orascom
&0000000000000008.0000008 Koos Bekker $2.8 billion increase 65 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini Naspers
&0000000000000009.0000009 dos Santos, IsabelIsabel dos Santos $2.7 billion increase 45 Bendera ya Angola Angola Investments
&0000000000000010.00000010 Mohamed Mansour $2.7 billion increase 70 Bendera ya Misri Misri Mansour Group

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Papadopoulos, Anna (22 October 2018). "Africa's Billionaires: Top 25 Richest People In Africa, 2018". CEOWORLD magazine. Iliwekwa mnamo 5 June 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Dolan, Kerry A. (10 January 2018). "African Billionaire Fortunes Rise On Forbes 2018 List Of Continent's Richest". Forbes. Iliwekwa mnamo 5 June 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Anon (n.d.). "Aliko Dangote". Forbes. Iliwekwa mnamo 5 June 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]