Nyambari Nyangwine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nyambari Chacha Mariba Nyangwine (amezaliwa 7 Agosti 1976) ni mwanasiasa wa CCM kutoka Tanzania ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Tarime. [1]

Ni mmoja kati ya wachapishaji wa vitabu vya kiada na ziada kwa elimu ya msingi na sekondari nchini Tanzania.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-30. Iliwekwa mnamo 2022-02-28. 
  2. https://elitestore.co.tz/publisher/212/books/nyambari-nyangwine-publishers
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyambari Nyangwine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.