No Place That Far

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“No Place That Far”
“No Place That Far” cover
Single ya Sara Evans
B-side "Cryin' Game"
Muundo CD single
Aina Country
Urefu 3:37
Studio RCA
Mtunzi Sara Evans, Tony Martin, Tom Shapiro
Mtayarishaji Norro Wilson
Buddy Cannon
Mwenendo wa single za Sara Evans
"Cryin' Game"
(1998)
"No Place That Far"
(1998)
"Fool, I'm a Woman"
(1999)

"No Place That Far" ni wimbo wa mwanamuziki wa Marekani anayeimba nyimbo zenye miondoko ya katri anayeitwa Sara Evans ambapo pia wimbo huu upo katika albamu yake ya No Place That Far. Wimbo huu ulikuwa wimbo wake wa kwanza kuingia katika nyimbo arobaini bora katika chati ya Hot Country Music na pia wimbo huu ulishika nafasi ya kwanza katika nyimbo za katri.

Yaliyomo[hariri | hariri chanzo]

"No Place That Far" ni wimbo ambao kidogo unaweza kuendana na miondoko ya kantri na kutumi piano kwa kiasi kikubwa na kuingiza vifaa vingine katika,shairi la pili had mwisho. Katika wimbo huu, anasema kuwa atafanya kitu chochote ili kumweka mpenzi wake karibu nae, katika shairi kama vile,

If I had to run, if I had to crawl
If I had to swim a hundred rivers just to climb a thousand walls
Always know that I will find a way to get to where you are
There's no place that far

Mashairi haya yalitengenezwa kwa msaada wa aliyekuwa mume ya Evans wa kipindi hicho, Craig Schelske kutokana na mapenzi waliyokuwa nayo kati yao. Ujumbe kutoka katika wimbo huu kwenda kwa mume wake kuwa, hakuna sehemu ya mbali ambayo mume wake anaweza akaenda ambayo yeye hawezi kufika na kuwa na mume wake.Lakini baada ya muda, Evans alidai talaka kutoka kwa mume wake mwezi wa kumi mwaka 2006

Muziki wa video[hariri | hariri chanzo]

Video ya wimbo huu ilitoks ikiongozwa na Thom Oliphant. Video inamwonesha Evans akiwa msituni akiwa amevaa gauni lenye rangi nyeusi na nyekundu na huku Vince Gill akiwa nyuma yake, wakiwa wanaimba wimbo huu. Katikati ya wimbo mume wake anatokea na kumkumbatia, halafu badae video inakuwa ya rangi nyeupe na myeusi, na kuoensha wanandoa wakitoa viapo vya ndoa. Video inaisha ikiwaonesha wanandoa wakiwa wameshikana mikono na kuingia katikati ya msitu.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chart (1998-1999) Ilipata
nafasi
U.S. Billboard Hot Country Singles & Tracks 1
U.S. Billboard Hot 100 37
Canadian RPM Country Tracks 4

Waliorudia[hariri | hariri chanzo]