New South Wales

Kutoka Wikipedia

Palipo na doa jekundu ndiyo ukubwa wa eneo la New South Wales.
Palipo na doa jekundu ndiyo ukubwa wa eneo la New South Wales.

New South Wales ni moja kati ya majimbo ya Australia. Pia ni moja kati ya majimbo makongwe katika Australia. Kati ya majimbo yote ya Australia, New South Wales ndiyo inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu. Mji mkuu wa New South Wales ni Sydney. Sydney ni mji mkubwa kabisa katika Australia.

Mji wa Sidney ulianzishwa mnamo mwaka 1788 kama kituo cha wafungwa kutoka Uingereza waliopelekwa hapa badala ya magereza ya nyumbani.

Wakazi wa New South Wales wanaitwa Wawelsh au Welshman (Kiing.

Jina la jimbo limetokana na mpelelezi Mwingereza James Cook aliyekuwa Mzungu wa kwanza wa kupitia pwani hili na na kulitolea jina la "New South Wales" kwa heshima ya Welisi ambayo ni nchi jirani ya Uingereza ndano ya Ufalme wa Maungano kwenye kisiwa cha Britania.

[hariri] Jiografia

[hariri] Viungo vya nje


Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "New South Wales" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu New South Wales kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi