Narsete na Yosefu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Narsete na Yosefu (walifariki nchini Uajemi, 343) walikuwa mzee askofu wa Sahqart na mfuasi wake kijana waliouawa kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya mfalme Sapur II kwa kuwa walikataa kuabudu Jua[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 10 Novemba.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.