Mto Mlomboji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mlomboji ni mto wa mkoa wa Njombe (Tanzania Kusini Magharibi) ambao ni tawimto dogo la Ruaha Mkuu.

Baadaye mto huo mkubwa unapitia Iringa na tambarare ya Kilombero hadi kuishia katika mto Rufiji ambao unamwaga maji mengi katika bahari Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]