Mto Mbiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mbiki ni kati ya mito ya mkoa wa Pwani (Tanzania mashariki), unaotiririka hadi kuingia mto Ruvu ambao unaishia katika Bahari Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]