Mto Bubu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Beseni la ziwa Sulunga (kijani).

Mto Bubu ni jina la mito minne ya mkoa wa Dodoma (Tanzania ya kati).

Mitatu inaelekeza maji yake kwenye bahari ya Hindi kupitia mto Rufiji.

Mwingine hauelekei bahari wala ziwa lolote la kudumu, ila unaunda madimbwi mengi ya kinamasi cha Bahi (ziwa Sulunga).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]