Motlatsi Mafatshe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Motlatsi Mafatshe (alizaliwa 1984), ni mwigizaji na mwanamuziki wa Afrika Kusini.[1] Anajulikana sana kwa uhusika wake katika filamu maarufu za State of Violence,Sokhulu &Partners II na Zama Zama[2]. Kando na uigizaji, yeye pia ni mwanamuziki mashuhuri aliyetengeneza zaidi ya nyimbo 400.[3]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa mwaka 1984 huko Soweto, Afrika Kusini katika familia ya kisiasa.[4] Alimuoa Millicent Nkangane, mbunifu wa mitindo tangu Novemba 2014.[5] Walikutana kanisani kwa mara ya kwanza.[6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Isidingo’s Motlatsi: I don’t earn enough to live the ‘fab life of a celeb’". timeslive. 21 November 2020. Iliwekwa mnamo 21 November 2020.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Motlatsi Mafatshe". IMDb (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  3. "Getting to know Isidingo’s Motlatsi Mafatshe". citizen. 21 November 2020. Iliwekwa mnamo 21 November 2020.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. "Isidingo’s Motlatsi on being judged for coming from ikasi: It doesn’t make me uneducated". timeslive. 21 November 2020. Iliwekwa mnamo 21 November 2020.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  5. "Motlatsi Mafatshe's wife: Thank you for making sure I'm the best". timeslive. 21 November 2020. Iliwekwa mnamo 21 November 2020.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  6. "Here’s how Isidingo’s Motlatsi & his wifey keep the flame alive". timeslive. Iliwekwa mnamo 21 November 2020.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)