Momoli wa Fleury

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Momoli katika dirisha la kioo cha rangi huko Bordeaux.

Momoli wa Fleury (pia: Mommolin, Mommole, Mummolus; karibu na Orleans, karne ya 6 - Fleury, 663) alikuwa tangu ujanani mmonaki Mbenedikto nchini Ufaransa, ambaye aliongoza monasteri yake kwa miaka 30 hadi kifo chake [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/65710
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.