Moluag

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Moluag katika dirisha la kioo cha rangi.

Moluag (pia: Lua, Luan, Luanus, Lugaidh, Moloag, Molluog, Molua, Murlach, Malew, Lugidus, Lugidius, Lugadius, Lugacius, Luanus; takriban 510592) alikuwa mmonaki na padri kutoka nchi ya Ireland alikwenda kuinjilisha Uskoti hadi kifo chak[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 25 Juni[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/59360
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.