Molly Bartrip

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Molly Bartrip (alizaliwa 1 Juni 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) .[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Molly Bartrip completes move". Tottenham Hotspur (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Molly Bartrip kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.