Mohamed Husseini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mohamed Husseini Mohamed
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 11 Januari 1996
Mahala pa kuzaliwa    Dar es Salaam, Tanzania
Urefu 1.69 m
Nafasi anayochezea Beki wa kushoto
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Simba S.C
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Mohamed Husseini Mohamed, pia anajulikana kwa mashabiki Kwa jina "Tshabalala" (alizaliwa 11 Januari 1996) ni mchezaji wa soka kutoka nchini Tanzania. Anayecheza katika kikosi cha klabu ya Simba SC, pia alishawahi kuchezea klabu ya Kagera Sugar (2013 - 2014) kabla ya kujiunga na Simba SC mnamo mwaka 2014.[1]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Alichezea Timu ya Taifa ya Tanzania kwa mara ya kwanza mnamo 22 Novemba 2015 katika mchezo wa Kombe la CECAFA 2015 dhidi ya Somalia[2]

Alichaguliwa kwenye kikosi kwanza katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2019 .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Benjamin Strack-Zimmermann. "Kagera Sugar Bukoba (2013/14)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12. 
  2. "Tanzania v Somalia game report". National Football Teams. 22 November 2015.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Husseini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.