Mnara wa taa wa Fontes Pereira de Melo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mnara wa taa wa Fontes Pereira de Melo pia hujulikana kama Mnara wa taa wa ponta de Tumbo ni mnara wa taa unaopatikana Kaskazini Mashariki mwa kisiwa cha Santo Antão, Cape Verde. Mnara huu umepakana pia na eneo linalojulikana kama Tumbo Kilometa 2 kutoka mji mkuu wa Cape Verde.

Mnara huu uliitwa Fontes Pereira baada ya kutembelewa na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Ureno Fontes Pereira de Melo kati ya mwaka [[1871] na mwaka 1886.

Mnamo Oktoba mwaka 2017 mnara huo haukuonekana katika picha za Ramani ya Google isipokuwa sehemu ndogo ya shimo la mnara.[1].

Mnamo mwezi Februari mwaka 2019 mnara huo ulianza kuonekana tena katika ramani za Google.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]