Mkoa wa Kusini (Zambia)
Mandhari
Kwa maana nyingine, tazama Mkoa wa Kusini.
Mkoa wa Kusini (Southern Province) ni moja ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 1,212,124 kwenye eneo la 85,283 km². Mji mkuu ni Livingstone.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Miji mikubwa ni pamoja na Livingstone na Kalomo.
Kafue na Zambezi ni mito muhimu zaidi.
Picha za Kusini
[hariri | hariri chanzo]-
Livingstone
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kusini (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | |
+/- |