Mkoa wa Copperbelt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Copperbelt katika Zambia

Mkoa wa Copperbelt ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 1,581,221 kwenye eneo la 31,328 km². Mji mkuu ni Ndola.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Miji mikubwa ni pamoja na Kitwe na Chingola.

Luswishi na Kafue ni mito muhimu zaidi.

Picha za Copperbelt[hariri | hariri chanzo]


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Copperbelt kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Mikoa ya Zambia
Bandera ya Zambia
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki
+/-